Habari Kali
Loading...

AUNT EZEKIEL: Bado sijaona mwanaume wa kunizalisha

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Wakati  rafiki  yake  kipenzi, Wema  Sepetu  akidaiwa  kunasa  mimba  ya  Diamond , Aunt  Ezekiel  yeye  amesema  bado  hajaona  mwanaume  anayeweza  kumtia  mimba  na  hatimaye  kuitwa  baba  wa  watoto  wake.
Akipiga  stori  na  mwanahabari  wetu , Aunt  Ezekiel  amedai  kuwa  kuna  wakati  unaweza  kumuona  yupo  kwenye  ndoa  au  uchumba  lakini  haimaanishi  kuwa  kuwepo  katika  mazingira  hayo  ndo  anaweza  kuzaa  au  kushika  mimba  kwani  suala  hilo  kwake  ni  kubwa  sana  na  hajafikiria  kama  linaweza  kutokea  kwa  sasa…
 aunty3
“Siyo  kwamba  sina  uwezo  wa  kubeba  mimba, hapana, suala  kubwa  hapa  ni  kwamba  bado  sijaona  mwanaume  wa  kunizalisha.
 
“Ni  kweli  nilikuwa  kwenye  ndoa  lakini  sikutaka  kubeba  mimba  na  ndo  maana  hadi  sasa  hivi  nipo  kama  ninavyoonekana,” alisema  Aunt  Ezekiel.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top