Habari Kali
Loading...

UKATILI..!! Mwenyekiti wa CCM kata ya Busambala Butiama auawa kinyama

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Watu  wanaodhaniwa  kuwa ni majambazi wamemuua kinyama kwa kupiga  risasi moja ya kichwani mwenyekiti  wa chama cha mapinduzi  kata ya Busambala wilayani Butiama mkoani Mara Bw Willison Opio mwenye umri wa miaka 60 huku kichwa chake kikisambaratishwa  kabisa na risasi hiyo.
 
Mauaji hayo ya  kinyama yamefanyika saa saba usiku wa kuamkia jana,baada ya majambazi hayo kuvunja milango ya nyumba aliyokuwa  amelala  kiongozi huyo na familia yake katika kijiji cha Kwikuba kabla ya kumshambulia kwa bapa za panga mke wamarehemu Bi Agness Wambura  ambaye alilazimika  kuwapa  kiasi cha shilingi laki nne  ambazo alizikopa kutoka katika taasisi moja ya fedha.
Afisa upelelezi wa makosa ya jinai mkoa wa Mara ACP  Rogati  Mlashan,akizungumza toka eneo la tukio, amesema baada ya majambazi hayo kuvunja  milango  miwili ya nyumba hiyo, walipiga risasi tatu na moja kumpata  kichwani kiongozi huyo wa CCM na kufariki  dunia  papo hapo na kusema kuwa jeshi la polisi  litafanya kila  liwezavyo  ili kuhakikisha wote walihusika kufanya uhalifu huo wanakamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sheria.
ccm
Kwa upande  wao baadhi ya  viongozi  wa  serikali katika  kata ya Busambala,wakizungumzia tukio hilo pamoja na kuonyesha masikitiko yao baada ya kupata taarifa za kifo cha kiongozi huyo wa CCM,wameliomba jeshi la polisi kuendesha msako mkali ambao  utawezesha kukamatwa kwa  wahusika,hatua ambayo wamesema itasaidia kuondolea wananchi hofu kubwa waliyonayo sasa.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top