Habari Kali
Loading...

Mwanamke asalimisha Shanga za MAJINI Kanisani…Anena Mazito

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Katika hali ya kushangaza, mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Asnath Terevaeli hivi karibuni aliamua kukabidhi kanisani shanga za majini kwa kile alichodai kuwa, zimekuwa zikimtesa na kumfanya akose amani.
Tukio hilo lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita katika Kanisa la Ufufuo na Uzima mkoani hapa baada ya moto wa Injili kuwashwa na Mchungaji Kiongozi, Frank Endrew.
Akizungumza na Risasi Jumamosi, mmoja wa waumini wanaosali kanisani hapo aliyejitambulisha kwa jina la Yusta John alisema, awali mwanamke huyo alionekana mwenye jambo linalomtatiza na lilipotolewa tangazo la wenye matatizo kupita mbele, Asnath alifanya hivyo huku akiwa ameshika shanga mkononi.
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Asnath Terevaeli akikabidhi shanga kwa Mchungaji Kiongozi, (Frank Endrew) wa Kanisa la Ufufuo na Uzima mkoani Arusha.
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Asnath Terevaeli akikabidhi shanga kwa Mchungaji Kiongozi, (Frank Endrew) wa Kanisa la Ufufuo na Uzima mkoani Arusha.
“Watu wengi walikuwa na shauku ya kujua lililomsibu mama huyo lakini alipofika alimkabidhi mchungaji Frank shanga hizo zilizotengenezwa kiasili zinazodaiwa ni za majini.
Shanga zilizosalimishwa.
Shanga zilizosalimishwa.
“Mwenyewe alieleza kuwa, alipewa kama zawadi na mwanaye lakini cha ajabu zimekuwa zikimtesa na kumfanya akose amani.

Mchungaji Gwajima
Mchungaji Gwajima

“Alidai kuwa kila alipovaa alihisi mauzauza mwilini hivyo akaona sehemu sahihi ya kujikomboa na mateso hayo ni kanisani,” alisema Yusta.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top