Habari Kali
Loading...

STEVE NYERERE agoma kuwataja Mashoga Bongo muvi

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amekataa katakata kuwataja wanachama wanaodaiwa ni mashoga ndani ya klabu hiyo ya jijini Dar.
Akizungumza na Amani juzikati jijini Dar baada ya kuombwa kuwataja wadaiwa hao, Steve alisema hashindwi kuyaanika majina yao, bali uongozi wake kwenye chama hicho si kuingilia mambo binafsi bali kuunganisha umoja na mshikamano kwa ajili ya tasnia ya filamu za Bongo.
“Hilo suala kila mtu ananiachia mimi nilizungumzie kwa kukanusha au kuweka majina hadharani ya wanaodaiwa ni mashoga. Hadi namaliza uongozi wangu sitafanya hivyo,” alisema Steve.
Pichani ni baadhi ya wasanii wa Bongo Muvi.
Pichani ni baadhi ya wasanii wa Bongo Muvi.
Siku za hivi karibuni baadhi ya vyombo vya habari viliwahi kuripoti suala la kuwepo kwa mastaa mashoga kwenye klabu hiyo yenye nguvu ya ushawishi wa fedha mjini.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top