Habari Kali
Loading...

DOTNATA awachana wanaomponda WEMA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > MJASIRIAMALI na mwigizaji wa sinema za Kibongo, Illuminata Poshi ‘Dotnata’ ameibuka na kusema anachukizwa na watu wenye kasumba ya kumsema vibaya mwigizaji Wema Sepetu ‘Beutiful Onyinye’, waache.
Akipiga stori na paparazi wetu Dotnata alisema anakerwa sana na watu wanaokuwa na chuki na mwigizaji huyo ambaye yeye anamchukulia kama lulu katika tasnia ya uigizaji.
Mjasiriamali na mwigizaji wa sinema za Kibongo, Illuminata Poshi ‘Dotnata’.
Mjasiriamali na mwigizaji wa sinema za Kibongo, Illuminata Poshi ‘Dotnata’.
“Siwapendi wanaomchukia Wema ambaye mimi huwa namuona kama nyota katika sanaa, wamuache mtoto wa watu afanye kazi zake, si watafute kazi za kufanya kuliko kumuongelea mabaya,” alisema Dotnata pasipo kuwataja majina watu hao.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top