Habari Kali
Loading...

NI BALAA TUPU...!! WEMA SEPETU ATOA YA MOYONI KUHUSU MILLARD AYO

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Watu wengi sana watakuwa wanamfahamu mkali huyu wa kuwakilisha habari kali za nguvu kwa watu wake kupitia kipindi chake cha ClaoudsFm cha Amplifaya, Milard Ayo amezidi kujipatia sifa kwa uwezo  wake na kwa staili yake ya pekeeya kufikisha habari, ila wengi walikuwa hawafahamu kile apendacho, mbali na kuwa hodari kama mtangazaji Milard Ayo hupenda sana nyumba, anandoto siku aje kusimamisha mjengo wake wa nguvu hapa town. Ni siri aliyoifichua Mrs Dangote aka Wema Sepetu wakati akimpa shavu ili watu wazidi kumpigia kura kuchagua#AMPLIFAYA kama kipindi cha Radio kinachopendwa.


BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top