Habari Kali
Loading...

HUYU NDIO MTU MWENYE ULIMI MREFU DUNIANI...!! BOFYA HAPA KUMCHEKI

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Chanel Tapper, mwanafunzi wa California nchini Marekani anashika rekodi ya kuwa na ulimi mrefu kuliko dunia nzima. Ulimi wake una urefu wa sentimeta 9.75 (inchi 3.8).
Ulimi wake ni mara mbili ya ulimi wa binadamu wa kawaida, na una upana kama kiganja cha mkono.
ulimi
Chanel aligundua kuwa ana ulimi mrefu kuliko kawaida alivyokua ana miaka nane  akipiga picha na mama yake uku wakiwa wametoa ndimi zao nje. Mama yake alivyoiangalia ile picha alishtuka na kushangazwa na urefu wa ulimi wa mwanae na toka hapo watu wengine wakawa wanamuongelea pia.
Anasema kila anapotoa ulimi wake nje watu hubaki na butwaa na kumuambia awaonyeshe tena kwani hawaamini wanachokiona. Watu wengine hushtuka sana na kuanza kuwaambia watu wengine waje kuona.
Wengine humuuliza kama ulimi wake unaweza kugusa pua yake na maswali mengine kadhaa. Kila anayeona ulimi wa Chanel inabaki kuwa kumbukumbu isiyosahaulika kwake na ataendelea kusimulia kwa wengine.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top