Nimepanda
lift kwenye moja ya jengo maarufu na refu hapa mjinikati karibu na Ohio
st. Niko ndani ya lift mzee mmoja smart anongea na simu kwa sauti ya
maringo , upole na yenye kujiamini, kulikua kimya hivyo unasikia kabisa
upande wa pili ni sauti ya kasichana mazungumzo yalikua hivi.
Mzee
- What do you mean..I've told you before not to worry it is within my
capability usichukue gari ya chini, chagua landcruiser au yoyote ya juu.

Mdada.- '............. .... ....... ..... ........ ........ .... ............
Mzee. - Ok no problem, njoo sasa hivi uchukue cheque kwa ajili ya kuwalipa NSSF niliongea na mkurugenzi wake akanipromse a nice location for your appartment.
Anyway we njoo ukifika go to reception I have already reserve a place, just wait me in the room nina kikao na waziri nikimaliza nakuja.
Niliwai kufika nikatoka liftini nikamuacha bado anaongea.
Kwa kweli niliona hamna sababu ya kuwasema wadada wanaotembea na wazee this dudes knows how to care jamani......
Vijana Siku hizi Hawajui Kuhonga zaidi ya Kuchafuana tu hata hela ya kununua sababu ni kujisafishia hupati
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

