Habari Kali
Loading...

MCHUMBA WA NEY WA MITEGO ATOA MACHOZI BAADA YA KUONA NYUMBA YA NEY YENYE THAMANI KUBWA YA MIL 170

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Katika Harakati za Ney wa Mitego kuonesha Mali zake ambapo juzi ametuonesha gari lake aina ya Murano lenye Thamani ya Milion 36, Jana ameonyesha nyumba yake mpya yenye Thamani ya Mil 170 ambayo ipo Maeneo ya Kimara , Katika tukio
hilo la kuonesha nyumba pia alimsuprise mpenzi wake Siwema Ambae alikuwa hajui Kama anajenga ambapo kitendo hicho kilimfanya Siwema Atokwe na Machozi ya Furaha ....
Angalia Picha hizo za Nyumba yake Mpya hapa Chini:





BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top