Miss Tanzania 2006 pia Actress mwanadada mwenye nyota ya ajabu ambaye anakimbiza hapa Tzee Wema Sepetu a.k.a Mrs .Nasibu Abdul alias Daimond Platinum amemtaja mtu ambaye alimzushia
kwamba anaujauzito kwenye mtandao mmoja wa kijamii uiitwao Instagram
kuwa ni shabani amri ambaye anapatikana kwa jina ili(@shabani amri5)
“Halafu usione nakaa kimya mkaona labda siumii kizazi ulinipa wewe?….. mpaka uniamrishe nizae…Sina kizazi sasa …kama unaweza nipe nizae..Dah! nawavumilia tu …mi pia binadamu nina moyo…unahisi kwa akili yako sitaki mtoto ama nini? …Zaa zaa zaa …kama wewe umebarikiwa kuzaa hongera..Im tired of this kuzaa bullshit….!!!Leave me and my Life alone “ aliandika wema kwenye ukurasa wake wa Instagram.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >