Siku chache baada ya kuachiwa kwa dhamana katika kesi ya kudaiwa kumbaka shemejiye, mwimbaji wa Injili na mfanyabiashara Bongo, Emmanuel Mbasha amedaiwa kuibiwa hati za nyumba na viwanja.
Chanzo
makini kilichomo ndani ya familia, kimedai kuwa mara baada ya Mbasha
kujitokeza na kuwekwa mahabusu Juni 17, mwaka huu, mtu asiyejulikana
alikwenda nyumbani kwa mfanyabiashara huyo, Tabata-Kimanga, Dar na
kukwapua hati za nyumba na viwanja mbalimbali anavyovimiliki.
Kikizidi kumwaga data, chanzo hicho kilisema katika vitu vilivyoibwa ni pamoja na nyaraka mbalimbali zikiwemo hati za viwanja kadhaa vilivyopo Iringa, kadi ya gari na vitu vingine vidogovidogo.
Baada ya kunyaka madai hayo, Ijumaa Wikienda lilimtafuta Mbasha ili kujua ukweli wa ishu hiyo ambapo alipopatikana alikiri kutovikuta vitu hivyo muhimu nyumbani kwake.
“Ni kweli kama ulivyosikia ila nisingependa kuzungumzia kila kitu kwa sasa nahitaji kupumzisha akili,” alisema Mbasha.
Mbasha aliyetoka kwa dhamana Juni 19, katika kesi hiyo ya kudaiwa kubaka iliyosomwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, kesi yake itatajwa tena Julai 17, mwaka huu.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

