Habari Kali
Loading...

BAADA YA WENZAO KUPIGWA RISASI: KANGA MOKO WAAMUA KUFANYA HILI

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >



DIANA Semhando na Zawia ambao ni mastaa wa kundi maarufu la minenguo Khanga Moja (ambao majuzi walipata msukosuko wa kufyatuliwa risasi mtaani), wamepata lebo na studio ya Fire Music ya jijini Dar es Salaam na kupakua wimbo unaokwenda kwa jina la “Ayaya” ambao utawatambulisha katika ulimwengu mwingine wa sanaa – ulimwengu wa uimbaji.
Mkurugenzi mtendaji wa Fire Music, Masoud Kandoro, ameiambia  kuwa wimbo huo upo katika hatua za mwisho na kwamba wakali hao ambao watajitambulisha kama WADADA WAWILI wameutendea haki wimbo huo.
“Ni wimbo mkali, Wadada Wawili wameimba vizuri na kilichobakia ni mambo madogo madogo, tunataraji kupata rap fupi fupi za Msafiri Diuof ili kuunogesha zaidi,” alisema Kandoro.
Wimbo huo umetungwa na kupangiliwa sauti na H- Mbizo ambako ndani yake utakutana na mistari kama “Penye miti hakutaki wajenzi, panataka wakwezi”, “Dukani kumejaa vipodozi kuzaa kunataka malezi”, “Taarab haionogi mapozi inanoga mashauzi”.

H- Mbizo ndiye aliyetunga wimbo wa “Majanga” uliompatika sifa kibao mwanadada Snura.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top