Wema
Sepetu ambaye ni mpenzi wa msanii Diamond Platnumz, jana usiku
aliudhihirishia umati wa watu waliofika kushuhudia ugawaji wa tuzo za
Kili 2014 kuwa anajisikia faraja kuwa mke mtarajiwa wa Diamond baada ya
kufagia tuzo 7 kwa mkupuo
Kauli hiyo ya Wema ilionesha kuufurahisha umati huo, huku wengi wao wakishangilia kwa furaha
Tazama video hii umsikie na kumuona akizungumza hayo:-
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

