Habari Kali
Loading...

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA:MENEJA WA WEMA SEPETU WATUPIANA VIJEMBE NA MPOKI JANA KWENYE TUZO KILI...

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Meneja wa Muigizaji maarufu wa Bongo Movie Wema sepetu amewaacha midomo wazi watu waliokuwa wamehudhuria Tuzo ya Muziki ya Kilimanjaro katika ukumbi wa mlimani City jana baada ya kupaniki na kujikuta anajibu mapigo kwa Mc wa sherehe hiyo Silvery Mjuni anayefahamika zaidi kwa jina la Mpoki.

Meneja wa Wema aitwae Martin Kadinda amejikuta ameshindwa kuzuia hisia zake kutokana na masihara ya mpoki pale alipowaambia kuwa timu Diamond ni kikundi kinachoongoza kupost picha hata zisizo na msingi kwenye mitandao ya kijamii hususani Instagram,

Mpoki aliwaambia  Diamond na wafuasi wake akiwemo wema,martin kadinda,Rommy Johnson kuwa  wanapost kila wakati kwa mfano wakiwawanakula,wamelala ndipo Martin kadinda alipomwambia mpoki kuwa atafute namna nyingine ya kutafutia pesa.


Kauli ya Kadinda iliwashangaza wengi kwani licha ya kuwa mpoki alikuwa anazungumza kimasihara lakini jambo lake linaukweli kwa kiasi kikubwa japo Kadinda alikuwa mwepesi kupanik na kushindwa kukubaliana na ukweli huo.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top