Habari Kali
Loading...

Vibaka Wanusurika Kifo Kijitonyama Jijini Dar

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > Vijana wawili waliotaka kupora mkoba wa dada mmoja wakiwa hoi kwa kichapo kutoka kwa wananchi.
Mmoja wa vibaka hao akiwa mtaroni baada ya kipondo.
Wananchi wakiwa eneo hilo la tukio.
Mmoja wa vibaka hao akizidi kusurubishwa kabla ya polisi kufika na kuwanusuru.
VIJANA wawili waliokuwa katika pikipiki aina ya Boxer wamenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali eneo la Kijitonyama baada ya kumpora dada mmoja mkoba.
Vibaka hao walifanikiwa kumpora dada huyo aliyekuwa akitembea kwa miguu akitokea Benki ya  Access katika maeneo ya showroom ya Akachube iliyopo Kijitonyama jijini Dar.
Wakati wa uporaji huo, alikuwepo msamaria mmoja aliyekuwa na gari aina ya Toyota Carina aliyefanikiwa kuwasukumia mtaroni na gari lake ambapo wananchi walianza kuwashushiwa kichapo cha kufa mtu.
Kipondo kiliendelea mpaka askari wa jeshi la polisi walipofika na kuwanusuru.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top