Habari Kali
Loading...

SIKIA KASHESHE LA HUYU DADA ALIYEWAHI KUHOJIWA NA JOYCE KIRIA KIPINDI CHA WANAWAKE LIVE

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ufafanuzi;
Huyu dada alidanganya kwamba alichukuliwa kijijini kwao Moshi na mama aliye dai hajafanikiwa kupata mtoto, hivyo alimchukua ili akamlee na kumsomesha kama mwanae, mama huyo pia aliwachukua na watoto wengine kama 10 hivi hapo kijijini na kuondoka nao, lakini walipofika DSM walipelekwa saluni na kutengenezwa nywele pamoja na kutindwa nyusi, na baada ya hapo wakapelekwa kwenye
nyumba moja ya ghorofa na kila mmoja akapewa chumba chake chenyekitanda na Box la condom.

alikuja baba mmoja na kumwingilia Ki***me na maumbile na baadae akamchoma sindano ya Nusu kaputi na kumfanyia operation na kutoa kitu tumboni kwake , kitu ambacho kipo kama ki-mfuko chenye damu damu. yeye hakufahamu kitu hicho ni kitu gani.... maisha yaliendelea hivyo kwa kufanyishwa biashara ya Ng**no kwa muda hadi alipofanikiwa kutoroka. Hivyo ndivyo alivyoeleza katika kipindi cha wanawake live jumanne iliyopita.

JINSI ALIVYOJIELEZA JUMANNE HII BAADA YA KUFIKISHWA KITUO CHA POLISI
1. hakuchukuliwa na mmama kwa nia ya kwenda kusomeshwa na kulelewa, bali watoroka wenyewe alikwa na wenzao 10.
2.operation aliyofanyiwa ilikuwa ni kwa ridhaa yake mwenyewe , na ilikuwa ni kwaajili ya kufunga kizazi ili asizae tena.
3.hakuna danguro lolote alilokuwa amefungiwa.
4. ameomba radhi na msamaha kwa kudanganya ili aweze kusaidiwa
KWA MUJIBU WA JOYCE KIRIA
kuna watu walipiga simu kipindi EATV na kusema huyu binti ni tapeli na ameshapita maeneo mbalimbali na kujitambulisha kwa style tofauti tofauti kulingana na mazingira, ili apewe fedha. amewahi kupita takribani makanisa matatu na kusema kwamba yeye alikuwa ni msukule na alikuwa anatumikishwa kichawi....
baada ya hayo yoote ilibidi akimbie na kutoroka

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top