Habari Kali
Loading...

+18VIDEO NYINGINE YA NIGERIA INAYOVIPA TABU VITUO VYA TV KUICHEZA.....!!!

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > Labda ingekua ya msanii wa Tanzania, Kenya, Uganda au Rwanda hii video ingekua imeshafungiwa kwenye nchi anayotoka kama ambavyo tumeshuhudia kufungiwa kwa video zisizopungua kumi kutokana na kudaiwa kuvunja maadili.

 Kwa mujibu wa ripoti iliyoifikia millardayo.com nchi ambayo imeongoza kwa kufungia video Afrika Mashariki ni Rwanda ikifuatiwa na Kenya kisha Tanzania.
Screen Shot 2014-05-09 at 3.37.35 AM

Hii video ya leo ni ya msanii wa Nigeria anaitwa Timaya akiwa na Mjamaica Sean Paul kwenye remix ya bum bum ambayo imepokea maoni tofauti kwenye mitandao mbalimbali baada ya hawa warembo kuonekana ndani yake walivyovalia.
 Screen Shot 2014-05-09 at 3.36.27 AM

Video hii pia inaendelea kupata airtime kwenye vituo hata vya nyumbani Nigeria na sijaona taarifa zozote za kufungiwa.
 Screen Shot 2014-05-09 at 3.36.46 AM
 Screen Shot 2014-05-08 at 12.27.54 AM
 Screen Shot 2014-05-09 at 3.54.22 AM Screen Shot 2014-05-09 at 3.55.22 AM 
BOFYA HAPO CHINI KUANGALIA VIDEO

https://www.youtube.com/watch?v=V4tWUJKiT1M
BOFYA HAPO JUU KUANGALIA VIDEO

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top