Shughuli hiyo ya kukata na shoka iliwashangaza watu kutokana na maharusi hao majina ya baba zao kufanana huku wageni waalikwa wakisema kwamba ikitokea hivyo ndoa huwa inadumu kwa muda mrefu.
“Namshukuru sana Pastor Muyamba kwani ndiye mwalimu wangu wa sanaa na kama siyo sanaa, nisingempata mwanamke kama huyu, yaani siku ya leo nina furaha sana,” alisema Aki wa Bongo Muvi ambaye ameandika historia kwa tukio hilo.
aliwapongeza kwa hatua hiyo ya kuingia kwenye ndoa huku akiwataka wasanii wengine kuiga mfano wao.
Baadhi ya sinema alizoigiza Aki wa Bongo Muvi aliyezidiwa urefu kiaina na mkewe ni pamoja na The Lost Sons, Sometime Yes, Sometime No, Yes Madam, Devil Kingdom, Pastor Muyamba Temptation, Uncle Mpozemenye na nyingine.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


