Habari Kali
Loading...

MGANGA WA DIAMOND ATOBOA SIRI NZITO JUU YA TUZO 7 ALIZOPEWA ANGALIA HAPA ALICHOKISEMA..!!

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


Yule mganga maarufu wa mastaa nchini ambae aliwahi kutangaza kuwa amekuwa na ukaribu na mwanamuziki Diamond ameibuka na kusema kuwa tuzo hizo saba alizozipata zinamaana kubwa sana kwenye kazi zake anazozifanya.
Akiongea na gazeti hili kwa njia ya simu namba 0788-844490 toka Mwanza alikoalikwa na wananchi wa huko kwa ajili ya kutoa huduma alisema" Niliongea na Diamond wiki moja kabla ya shoo nikamueleza kuwa atapokea tuzo nyingi sana mwaka huu na hizo tuzo ni ishara tosha ya kudumu kwenye game kwa miaka kama hiyo ya tuzo zake kwa maana ya miaka saba mbele yote nyota yake itaendelea kung'ara" Alisema Dokta Kamdege
Aidha Mganga huyo aliendelea kusema" Unajuwa haya mambo ya maagano yapo muziki na miti shamba zinaendana kwani kwenye dunia hii ya leo maadui ni wengi kuliko marafiki kwani wapo watakaokuchukia bila sababu za msingi hivyo ni vyema ukalijua mapema hilo na kujikinga kama ilivyo kwa Diamond" Alisema mganga huyo mwenyeji wHa Mkoa wa Tabora
Hata hivyo mganga huyo aliendelea kuto uwito kwa watanzania popote walipo duniani waendelee kupata huduma zake kwani hii ni kama baraka kwa taifa la Tanzania.
Dokta Kamdege amekuwa akitumiwa sana na vigogo wa Serikali, wasanii na watu mbalimbali duniani kufanikisha mambo yao kwa kuwapatia baraka kupitia miti shamba.
-XDEEJAYZ

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top