Habari Kali
Loading...

Hofu yatanda…Wasamalia wema waingia mitini dhamana ya wazazi wa ‘mtoto wa boksi’….!!

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
HATIMAYE wale watuhumiwa wa mtoto anayedaiwa kufichwa kwenye boksi kwa miaka 4 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro kujibu mashitaka ya kula njama na kufanya ukatili dhidi ya mtoto Nasra huku watu waliotakiwa kuwawekea dhamana watuhumiwa hao wakiingia mitini.
Baba wa mtoto Nasra anayedaiwa kufichwa kwenye boksi kwa miaka minne Mtonga Omarafikishwa mahakamani
Baba wa mtoto Nasra anayedaiwa kufichwa kwenye boksi kwa miaka minne Mtonga Omarafikishwa mahakamani

Watuhumiwa waliofikishwa mahakamani hapo chini ya ulinzi mkali wa polisi ni Rashid Mvungi (47), mama mlezi, Mariam Said (38) na mume wake Mtonga Omar (30).

Washitakiwa hao walifikishwa katika mahakama hiyo chini ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mary Moyo, Jumatatu ya wiki hii  na kusomewa mashitaka hayo huku muda mwingi wakionesha kujutia kosa hilo ambalo hawakujua kama ni bomu ambalo litakuja kulipuka.

Muda mwingi, Mvungi akiwa mahakamani hapo alikuwa akiweka mikono juu ya kichwa (angalia picha) jambo lililotafsiriwa kwamba ni kuonesha kujutia tukio hilo.

Watuhumiwa wengine kwenye sakata hilo wakisindikizwa mahabusu chini ya ulinzi wa polisi
Watuhumiwa wengine kwenye sakata hilo wakisindikizwa mahabusu chini ya ulinzi wa polisi


Wakili wa Serikali, Sunday Hyera alisema washitakiwa walitenda kosa hilo kati ya Desemba, mwaka 2010 na Mei, mwaka huu katika Mtaa wa Azimio Kata ya Kiwanja cha Ndege, mjini Morogoro.

Wakili huyo alidai kuwa katika kipindi hicho, washitakiwa wakiwa walezi wa mtoto Nasra, walimfanyia ukatili wa kumtelekeza na kumpa malezi akiwa ndani ya boksi na hivyo kumsababishia magonjwa mbalimbali.

Maradhi yaliyotajwa kumkumba mtoto huyo akiwa ndani ya boksi ni utapiamlo, maumivu ya kifua na mvunjiko wa mifupa katika mwili.
1

Hyera alidai kuwa upelelezi wa kesi hiyo umekamilika na kuiomba mahakama kutaja tarehe ya kuisikiliza.
Hata hivyo, licha ya dhamana kuwa wazi, hakuna mtu aliyejitokeza kuwadhamini washitakiwa hao hivyo kurejeshwa gerezani huku watu wakishangilia kwa kusema kwamba kitendo walichokifanya hawastahili kurejea uraiani.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top