Baadhi
ya wanafunzi wa Chuo Cha SAUT Kilichopo jijini Mwanza
wamejikuta wakiumia vibaya baada ya kuanza kukimbia hovyo
wakidhani wamevamiwa na magaidi. Cha kufurahisha ni kwamba
waliyekuwa wanamkimbia kumbe alikuwa ni mwanafunzi mwenzao....
Taarifa
kutoka Chuoni hapo zinaarifu kuwa wanafunzi wa shahada ya uzamili
katika biashara walikuwa na mtihani leo, ghafla akaingia kijana wa
Kisomali darasani.
Wanafunzi
wote waliokuwa darasani pamoja na mhadhiri walianza kukimbia
hovyo, kila mmoja upenyo wake pasi kujua kwamba waliyekuwa
wanamkimbia ni mwanafunzi mwenzao aliyekuwa amekosea darasa.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >