Kupitia ukurasa wake wa instagram, mwanadada wema Sepetu ameamua kuvunja ukimya kwa kuamua kuweka wazi kuwa hana uwezo wa kushika ujauzito... hiki ndicho alichosema!
"Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana... But
sina... Na siwezi kumkufuru mwenyezi mungu.... Au mngependa niwe
nawaambia jinsi ninavyo hangaika usiku na mchana kupata mtoto wangu
mwenyewe... Is dat wat u want...? kila ntakachofanya kwa ajili ya tumbo
langu basi nitangaze... Au mnadhani siumii mnavyosema kuhusu maswala ya
mtoto...
"Kumbukeni na mimi pia ni binaadam... Nina moyo kama nyie... Au
mnadhani napenda kuona wenzangu wana watoto au wana ujauzito alafu mimi
sina hata wa kusingiziwa... Mnaona nafurahia sio.... Hivi mna nini
jamani..
"Yaani mtu unaweza weka post kwa nia nzuri then people jus come
from nowea wanaanza kukuandikia maneno ya kukuumiza kabisa nafsi hadi
mtu unakaa unajiuliza umemkosea nini mwenyezi Mungu...
"Kwani kuna niliemkosea yoyote mpaka muanze tu kunikashif na kunitolea
maneno mazito namna hio... Kisa mtoto... Mnadhani naipenda hii hali...
"Hata mimi natamani kuitwa mama na hakuna kinachoniuma kama hicho.... So
mnadhani sijui kama umri unaenda na maisha yenyewe sikuhizi mafupi
anytime we die... Mnafikiria nisingependa kuacha hata ka copy kangu siku
ndo Mungu anasema ananichukua...
"Hata mimi natamani ningekuwa napiga picha niko na mwanangu... I want
dat with all my life but I cant.... Sitokaa nimkufuru Mungu wangu hata
siku moja maana sijui ni kitu gani kaniandikia... But just dont rub it
in... It hurts... And im jus a human being like each and every one of
u....
src-Mpekuzi blog
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >