Habari Kali
Loading...

WATUPWA JELA MIAKA 5 KWA KOSA LA KUTUPA UNGA VICHAKANI

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

HandcuffsJeshi la Polisi katika jitihada za kupambana na madawa ya kulevya, limewakamata watu wawili waliokuwa katika gari baada ya kutupa dawa za kulevya vichakani zenye thamani Paundi 230,000.
Watuhumiwa hao walikamatwa baada ya kurekodiwa na kamera ya video iliyofungwa kwenye gari ya Polisi ikionyesha jamaa hao wanavyotupa mzigo huo vichakani.
Duch
Jamaa hao Kabbar na Duckworth wamehukumiwa kifungo cha miaka 5 kila mmoja kwa kosa la kukutwa na kifurushi cha Heroin, na kosa la kundesha gari kwa kasi.
Watuhumiwa hao wamekutwa na kosa hilo wakiwa njiani kutokea Rochdale, Manchester kuelekea Birmingharm, Uingereza.
Polisi II
Polisi

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top