BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Mwanamke
mmoja nchini Taiwan amedai talaka mahakamani toka kwa mumewe wa miaka
minne kutokana na udogo wa maumbile yake ya kiume na pia kwa kushindwa
kutimiza ahadi ya kutoa unyumba mara tatu kwa wiki.Mwanamke
huyo aliyetajwa kwa jina la Zhang mwenye umri wa miaka 52, amevunja
ndoa yake ya miaka minne na mumewe Zhou mwenye umri wa miaka 55 sababu
kubwa ikiwa ni udogo wa uume wake.
"Uume
wake ni mdogo sana sawa na wa mtoto, una urefu wa sentimita tano tu,
hatujawahi kufurahia mapenzi kwa muda wote wa ndoa yetu", alisema Zhnag.
Zhang aliongeza kuwa alikutana na mumewe mwaka 2008 kupitia kwa rafiki yake na walifunga ndoa miezi mitano baadae.
Zhnag
aliendelea kusema kuwa kabla ya ndoa hawakuwahi kufanya mapenzi kwakuwa
mumewe huyo alikuwa akidai kuwa yeye ni mtu wa dini sana hawezi kufanya
mapenzi nje ya ndoa.
"Niligundua tatizo alilonalo siku ya
harusi", alisema Zhang na kuongeza "Pia hajiwezi kutimiza majukumu yake
ya kutoa unyumba kwa mkewe".
"Tuligombana usiku mzima na
nilimwambia afanye hima kutafuta tiba" alisema Zhang ambaye sasa
amefanikiwa kuivunja ndoa hiyo kupitia mahakama.
Hii sio mara ya
kwanza kesi za kuvunja ndoa kufika mahakamani sababu ikiwa ni ufanisi
kwenye tendo la ndoa. Mwaka 2008, Mwanaume mmoja wa nchini Urusi
alikimbiwa na mkewe baada ya kwenda kufanya operesheni ya kuongeza
ukubwa wa uume wake lakini wakati wa malavidavi kipande kilichoongezwa
kwenye uume kilinyofoka.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Tuesday, 4 November 2014