BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
It
was yesterday bana mida ya jion, jirani kanipigia simu akanishtua kuna
bonge la Foleni kuelekea Home. Yeye alinishauri nibadilishe njia ila
mimi, Well nka decide ku waste time kwa office kwanza ques ziishe.
Ilipofika mida ya kama 18:00 hivi nkamuona dada mmoja wa makamo kiasi
akiondoka peke yake. Jengo letu lilivyo ni kuwa kama unatumia mlango wa
nyuma kutoka lazma upitie department yetu.
As
usual, boys will always be boys nkaanzisha story na kumsihi kuwa mida
hii mafoleni makubwa avute hata 15 mins hivi ndo aende. Pamoja na kuwa
alikataa kusubiri kwa kisingizio kuwa kesha chelewa sana lakini
alisimama kunisikiliza. Here I was alone na bidada kwenye mazungumzo
ambayo hata hayakuwa na aim yeyote ya maana. Kiufupi huyu dada mi huwa
namuona tu na najua anafanya kazi pale ofisini ila sijawahi hata kuongea
nae.
Waswahili
wanasema Mbuzi akifia kwa muuza supu kinachofuata kinajulikana. Basi na
mimi when I ran out of things to say kwa huyu mrembo nkamuingia. Ingawa
nia yangu haikuwa kumtongoza na nili expect akatae kabisa na aondoke
ila aliendelea kunisikiliza huku akijichekesha. Sio kwamba ninampenda au
nimevutiwa naye ila niliishiwa tu story na maneno ya kusema kwa wakati
ule. Nlivyomuuliza kuwa ombi langu analipokeaje jibu lilinishangaza
zaidi. Baada ya kuona hana dalili ya kukataa nkamfungukia kuwa nina
mchumba wangu nategemea kumuoa hivyo this relationship ni Non-official.
Hili pia halikumfanya akatae and she was up for it huku akijitamba kuwa
yeye ni bingwa wa kutunza siri and no one will know.
I
was Flabbergasted, sijui ni ushamba au ndo maharage ya mbeya ila how
can you possibly say yes? The conversation lasted for abt 40 mins.
Tukabadilishana contacts with a promise kuwa tutawasiliana. To be honest
ningeendelea na hata kumuomba tukapate vinywaji na baadae guest
angekubali kabsaaaaa 100%. Unajua nimeamini kuwa hakuna mwanaume M.alaya
ila tatizo wanawake wanatuwekea K mezani kirahisi mno. Wengine
hatupendi ku cheat ila kama wanawake hawabadiliki sidhani kama
tutafanikiwa. As for the time being, I'm keeping her number just incase.
Who knows she may be a very good friend after all.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Tuesday, 4 November 2014