Habari Kali
Loading...

SHY-ROSE BHANJI AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR KUFAFANUA UZUSHI UNAOENEZWA KUHUSU YEYE

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Mbunge wa  Bunge la Afrika Mashariki Shy-Rose Bhanji akizungumza na waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam jana kufafanua uzushi unaoenezwa na baadhi ya wabunge wa bunge hilo kuhusu yeye, na baadhi yao wakisusia kushiriki vikao vya bunge hilo kushinikiza aondoshwe kwenye kamati ya uongozi kitu ambacho amekipinga akitaka wenye madai hayo wawasilishe kwanza madai yao yajadiliwe na yeye ajitetee.
Mbunge wa Bunge hilo Twaha Taslima, aliyekuwa akifafanua mambo ya kisheria kuhusu bunge hilo.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top