Habari Kali
Loading...

RAIS KIKWETE AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA LEO

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa mji wa Dodoma leo Novemba 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
 Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani wakati wa  Mazungumzo kati ya RaisJakaya Mrisho Kikwete na  wazee wa mji wa Dodoma leo Novemba 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na  wazee wa mji wa Dodoma leo Novemba 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
Viongozi wakisimama kuimba  Wimbo wa Taifa.
 Ngoma ya utamaduni ya kabila la Wagogo likitumbuiza kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma leo Novemba 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.

 Sehemu ya wazee wakati wa  mkutano wao na  Rais Kikwete mjini Dodoma leo Novemba 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
 Meza kuu ikiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma leo Novemba 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
 Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma leo Novemba 4, 2014 tayari kwa mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma leo  Novemba 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza na Rais Kikwete  maswala kadhaa ya maendeleo.
Rais Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma leo Novemba 4, 2014 tayari kwa  mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma leo  Novemba 4, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye masuala kadhaa ya maendeleo. 

(Picha na Ikulu)

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top