Habari Kali
Loading...

PAPAA MSOFE AUGUA, ASHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI, KESI YAKE YAAHIRISHWA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


Papaa Msofe akiingia chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. (Picha na Maktaba yetu)
MFANYABIASHARA anayekabiliwa na kesi ya mauaji, Marijan Abubakar, maarufu kama Papaa Msofe leo ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kusikiliza kesi yake baada ya kuugua.
Papaa Msofe na mwenzake, Makongoro Joseph, wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya Onesphory Kitoli, wataendelea kusota rumande baada ya kesi hiyo kuahirishwa mpaka Novemba 18, mwaka huu itakaposikilizwa kuvuta subira ili upelelezi ukamilike.
(Na Haruni Sanchawa / GPL)

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top