BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Seriously
wanawake mlioolewa wengi Wenu mnaboa sana sana Aisee, Mnadharau sana
Nguvu ya Nyumbandogo, Mnaviona Kama vimalayaflani visivyo Na Bahati. Na
kurukia waume Za watu. Sure I am telling you stop this. Never
underestimate the power of nyumbandogo.
Umebweteka
tu, ukirudi home umejitupia Kwa bed ukiguswa unamaka Eti umechoka,
mumeo yuko bize Na simu down night we unaona poa tu, Kwamba ni jiwe la
mtoni weye Maji yatapita yataliacha, frendie umebug mama. Tena Kama ni
reli imegeuka tope, Nyumbandogo zina nguvu sana..
Ukibahatika
sana waweza kudhibiti mshahara lakini unajua marupurupu mengine yanapo
elekea?, lunch, OT, mishemishe Za kiofisi unajua fedha Yake ni zaidi ya
Mara tano Na kitu ya kimshahara chake! Unajua zinaelekea wapi!?!, acha
Ushamba, unadhani kuna maisha mengine zaidi ya Haya.
Sijui
mmelewa mvinyo gani, aliyewadanganya kawalogea Kwenye uongo ,
Nyumbandogo zina power sana sana. Wanaume all days hukimbizia Fedha zao
Kule wanakoinjoi love. Imagine Kwenye Kitabu Cha Biblia, palikuwa Na
Mfalme mmoja aliyeitwa Daudi.. Aliyekuwa Na wake Saba wa ndoa Za
Kishindo.. Wote walibweteka wakimsubiria Mfalme amteue Mtoto wa mmoja
wapo awe mrithi wake.. But what happen, Mwanamke Mwingine we can say
Nyumbandogo (Bathsheba) aliyekuwa Mke wa bwana mmoja askari Uriya,
akapenetrate within the David Kingdom , akawa the 8th wife Na Kuutwaa
Urithi wa Ufalme Kwa mwanae Solomon., wale wengine wakabakia mimacho
pyuu, Then Nyie Leo mnadharau hii kitu. Chezea pesa, hata Kazi chezea
but usichezee mume. Itakucost.Kazi yaweza potea ukasaka nyingine mume
akikuponyoka siku akirudi haji peke Yake ameshajifungashia zigo la
Gonjwa, anakugawia Na wewe.. Nambie kama utaona Raha ya Kazi tena, Kama
utaona Raha ya Shule unayoikazania. Kila siku openiyunivaste-yunivaste
itageuka klose-yunivaste.
Hapana
aisee , badilikeni, mkeep bize mwanaume at your Body, mmassage, make
him happy, is the only husband an pet man you have. Mwanamke mmoja
makini akinambiaga Yeye mumewe anamtendea "vitu" kiasi hata akienda nje
hawezi kuta Kama hivyo ampavyo. But wengine maadam keshaolewa, Na ndoa
zenyewe hizi Za kikristu, one wife , Basi anaona kafikaaa,
Umelogwaje,wakati wa Mchana mchane Na Whatsapp mwenyewe akome sio
kuwaachia wengine wamuwatsapp utajuta.
Kazi, Watoto, Ndugu Na majukumu mengine yasikufanye ukapoteza lulu yako ya Kuwa Na happy time Na Mumeo..
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Tuesday, 4 November 2014