Ruby Graupera uliancha kudunda kwa dakika 45 ingawa baadaye alipata fahamu
Kwa namna alivyoonekana tu Ruby Graupera Cassimiro alikua amepoteza maisha.
Moyo
wake uliacha kupiga kwa dakika 45, madaktari waliokuwa wakimfanyia
upasuaji kumzalisha mtoto, waliwakusanya wanafamilia kwa ajili ya kusema
buriani.Kilichofuata hapo baadae mapigo ya moyo yakaanza tena kurudi na kuonesha kwenye kifaa maalum mithili ya kompyuta
Graupera Cassimiro alikua hai.Daktari Jordan Kanurr ameonyesha kushangazwa na tukio hilo wala pia hakuwahi kusikia kwa Madaktari aliokuwa akifanya nao kazi.
Mama huyu mwenye umri wa miaka 40, ambaye alijifungua mtoto wake akiwa na afya njema amewashtua sana madaktari.
''Nilikuwa nimekufa,'' Ruby aliambia kituo cha habari cha ABC . ''Mume wangu aliniambia niligeuka rangi mithili ya majivu.Mwili wangu ukawa baridi sana na kwamba mdomo wangu ulikuwa umekauka na hata kukosa rangi. ''
Graupera alipata tatizo ambalo huwa ni nadra sana kushuhudiwa. Maji yanayomzunguka mtoto tumboni yalichanganyika na mzunguko wa damu wa mama na kusababisha moyo kukandamizwa hali iliyofanya mzunguko wa damu kusimama.
Alichokumbuka cha mwisho kabla ya moyo wake kusimama ni pale alipopelekwa hospitalini kwa kiti cha magurudumu na anasema kilichofuata, alilala usingizi mnono.
Baadaye Ruby aliacha kupumua. Madaktari walijaribu kumuamusha hata kwa kutumia mashine bila mafanikio. Moyo wake ulisimama kwa dakika 45.
Madaktari wanasema yaliyomkuta mzazi huyu ni miujiza mikubwa kwa kuwa hajapata madhara yoyote kwenye ubongo ingawa mapigo ya moyo yalisimama kwa muda mrefu.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

