BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Inabidi sasa wanawake tuanze kuwapa somo wenyewe manake inaonekana hamfundishani kabisa. Sababu kila kukicha Mambo ni yale yale.
Wanawake mmekuwa na tabia mume
akikueleza anajisikia vibaya,mwili unamuuma haraka unamwambia nenda
hospitali au unakwenda kumnunulia panadol apunguze maumivu, Mnakosea
kabisa.
Kumbe daktari au nesi au mtabibu ni wewe
mwenyewe, hebu nikupe siri moja wala usiniulize mchaichai nitaupata
wapi, kwani uko mwingi sokoni na kwenye maduka ya dawa za asili. Chukua
nazi zako, zikune halafu chuja taratibu mpaka upate tui zito, pika
mafuta ya nazi, ule muda ambao tui lako liko jikoni chukua majani ya
mchaichai changanya kwenye tui hilo wakati linachemka changanya na
mdalasini pamoja na hiriki, acha tui lichemke mpaka ligande.
Likishaganda unatoa mafuta mazuri yanayonukia kisha chuja na uweke
kwenye chupa safi.
Muinue mumeo kamuogeshe, ikiwezekana
hata kumbeba mbebe, mwanaume si mzito hata akiwa na uzito wa tani tano
huwezi kushindwa kumbeba,mbona mkiwa kwenye mahaba uzito huuoni? Mume
anafanyiwa kila linalowezekana ilimradi liwe halali kwa Mwenyezi Mungu.
Mwanaume ni bahati, hawapatikani kilahisi. Hakikisha mume unamshikilia
asikuponyoke. Siku hizi wanaume tumekua adimu hadi tunagombaniwa, walio
na moyo mwepesi wanajichoma visu wengine wanakunywa sumu, unabaki
unajiuliza kwani anayo ya dhahabu? Mwanaume ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Na siri ya tungi aijuaye kata.
Sasa mbebe mumeo kisha kamuogeshe na
baada ya hapo mkaushe kwa taulo laini siyo kwa kanga na usimsugue, taulo
lina manyoya yake ambayo ni malaini na ni maalum kwa ajili ya kufutia
maji, kanga inasugua ngozi si salama sana pia kwa sababu inatoa rangi.
Baada ya kukausha maji chukua mafuta
yako umpake mwili mzima kisha fanya masaji taratibu, baadhi ya wanawake
wanawapeleka waume zao kwenye vituo vya masaji wakafanyiwe masaji ya
mwili, hivi kwa nini mumeo akashikweshikwe na mwanamke mwenzako wakati
ufundi wewe unao?
Kama huna ndiyo huu nakupa.
Mpapase taratibu mumeo huku unamfanyia
masaji, fika mpaka kwenye milima ya gorani, teremka taratibu kwenye
bonde la Sinai, hapo sasa utakapofika kwenye bonde hilo sidhani kama
maumivu yatakuwepo, lazima atataka chakula cha usiku hata kama itakuwa
mchana atataka cha usiku tu Mlishe usimnyime chakula. Mimi nawasaidia
Mahusiano yasiwashinde. Unashangaa mwenzio anadumu kwenye mahusiano
unaanza kusema kaenda kwa mganga kumbe hujui anayo mfanyia Mpenzie.
Chukua hatua.
Watakucheka watu ukiachwa, Mara Nyingi
Huko Kwenye Vituo vya masaje Mwanaume akiwa anafanyiwa hiyo masaje na
Mwanamke ikilolea atataka na papucha ..Shauri Zenu
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Tuesday, 4 November 2014