MKONGWE wa Bongo Fleva na mwanachama wa kundi la Gangwe Mob, Luteni Karama ambaye ni mchumba wa aliyekuwa Miss Ruvuma miaka ya nyuma, Isabela Mpanda, amekiri kuwa bibie huyo ni msalaba wake, hivyo hata amkosee kiasi gani, hatamuacha.
“Mimi nimeshakubali kuwa Bela ni msalaba
wangu na ndiyo maana hata kama ananikosea vipi au mimi namkosea,
tunaweka mambo sawa na maisha yanaendelea kama kawaida,” alisema Karama
ambaye mshirika wake, Inspekta Haroun, juzikati aliadhimisha miaka kumi
ya ndoa yake.
Maisha ya wawili hao kimapenzi yamekuwa ya kutatanisha hasa kutokana
na kuachana na kurudiana kila mara, kitu ambacho Karama anasema
kitafikia mwisho kwani furaha yake ni kuona anafunga ndoa na mpenzi wake
huyo wa muda mrefu.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

