Habari Kali
Loading...

DENTI AFAULU, APOTEA!

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Stori: Mwandishi  wetu
MWANAFUNZI Asia Hamed Muagi (15) ambaye alifanya mtihani wa kumaliza darasa la saba mwaka huu katika shule ya msingi Gerezani  jijini  Dar es Salaam amepotea katika mazingira ya kutatanisha tokea Oktoba 28.
Mwanafunzi Asia Hamed Muagi aliyepotea katika mazingira tatanishi .
Akizungumza na gazeti  hili, mjomba wa mwanafunzi huyo ambaye matokeo ya darasa la saba yanaonyesha amefaulu kwa masomo ya sekondari,  Mbaraka Mohamed alisema binti yao aliondoka kuelekea kusikojulikana na wamefanya jitihada zote za kumtafuta bila mafanikio.
“Baada ya kumsaka kila kona, tulienda kutoa taarifa kituo cha polisi Msimbazi ambako tulifunguliwa jalada  lenye kumbukumbu na Ms/RB/10027.2014 taarifa ya kupotelewa na mtoto,” alisema.
Asia, mkazi wa mtaa wa Lindi, Kariakoo jijini Dar es Salaam hajaonekana kwa ndugu na marafiki wote wa familia, hivyo mjomba wake anaomba yeyote mwenye taarifa zake kutoa ripoti polisi au kuwasiliana naye kwa namba 0713 400423, 0712 294191 au 07134 480002. 

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top