GOOD news kwa mtoto mzuri Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ ni kwamba anatarajia kuolewa hivi karibuni baada ya kuishi maisha ya upweke kwa muda mrefu, Risasi Jumamosi linakujuza.
Alisema katika safari ya maisha, vikwazo ni vingi ikiwemo masuala ya skendo za wasanii lakini ameshavuka vikwazo hivyo na hahitaji tena kuyumbishwa na mtu kwani anaingia kwenye ndoa akiwa ameshajifunza mengi.
“Ndoa siyo kitu cha mchezo tena kwa sisi
wasanii mambo ni mengi. Kazi yetu tunakutana katika mazingira mbalimbali
hatarishi na wadau tofauti, vikwazo ni vingi na mtu akivuka salama basi
ni jambo la kumshukuru Mungu,” alisema Batuli.
Paparazi wetu alimbana zaidi Batuli ili aweze kujua hiyo ‘hivi
karibuni’ kwake ina maana ya lini ambapo hakutaka kutaja tarehe ya
harusi lakini akaahidi kumwanika mume wake mtarajiwa Desemba 5, mwaka
huu sambamba na kutaja siku husika ya ndoa.“Wewe usijali, utakuwa wa kwanza kualikwa. Tena Desemba 5 nitakuita umuone mume wangu mtarajiwa, nitakutambulisha kwa majina na kila kitu, baada ya hapo nitakupa tarehe kamili ya ndoa yangu maana kila kitu kimeshakaa kwenye mstari, soon tu nitakuwa mke wa mtu,” alisema Batuli.
Watoto wawili ambao Batuli anao kwa sasa, alizaa na wanaume wawili tofauti ambao hapendi kuwazungumzia kwa kuwa tayari zama zao zilishapita.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

