Habari Kali
Loading...

BATULI AELEZA SABABU ZA UKIMYA WAKE

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Na Hamida Hassan
BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, diva wa filamu Bongo, Yobnesh  Yusuph  ‘Batuli’ amefunguka kuwa kimya chake hicho kina mshindo kwani kuna kitu kilimuweka bize hivyo watu wakae mkao wa kula atawasapraizi.
Diva wa filamu Bongo, Yobnesh  Yusuph  ‘Batuli’.
Batuli alisema hayo baada ya mashabiki kuuliza amepotelea wapi ambapo alisema kuwa aliamua kukaa kimya kidogo ili mashabiki wapate hamu ya kumuona kwani kitu alichowaandalia kiko njiani.“Ukimya wangu una sababu kubwa, nimeamua kufanya yangu ili mwisho wa siku nikiibuka nitoke na la kunitangaza,” alisema Batuli.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top