Habari Kali
Loading...

AJALI MBEYA: BASI LA COCA COLA LAGONGANA NA NADIA ASUBUHI HII

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Gari aina ya Toyota Nadia likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana na basi lililokuwa limebeba wafanyakazi wa Kampuni ya Coca Cola leo asubuhi mkoani Mbeya.
 Basi la kubeba wafanyakazi wa Kampuni ya Coca Cola baada ya kugongana na Nadia.
Nadia ikiwa imeharibika vibaya baada ya ajali hiyo.
Basi la Coca Cola likiwa eneo la ajali.
AJALI hii imetokea asubuhi hii katika eneo la maghorofani mkoani Mbeya baada ya basi lililokuwa limebeba wafanyakazi wa Kampuni ya Coca Cola kugongana na gari aina ya Toyota Nadia. Katika ajali hiyo, Nadia imeharibika vibaya kwa mbele.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top