STAA wa sinema za Kibongo, Aisha Bui amefunguka kuwa hivi karibuni aliangusha timbwili la kufa mtu kudai fedha zake za filamu aliyocheza kwa sababu fedha aliyotumia kuandaa filamu hiyo hakuhongwa na mwanaume.
“Unajua naumia sana hela yangu siyo kwamba nilihongwa na wanaume bali nilitafuta kwa jasho langu hivyo mtu anapokuwa na lengo la kunidhulumu naumia mno na ninashikwa na hasira sana,” alisema Aisha Bui.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

