Juzi
gazeti moja la habari za mastaa nchini liliandika kuwa ndoa ya Mh.
Lazaro Nyalandu ambaye ni mbunge na waziri wa maliasili na utalii nchini
na Faraja Kota ambaye ni mshindi wa taji la Miss Tanzania 2004
inatikisika kisa kikidaiwa ni star wa filamu nchini Aunty Ezekiel
kudaiwa kutoka na mh. Nyalandu mara baada ya kukutana nchini Marekani
katikati ya mwezi September mwaka huu.
Aunty
Ezekiel hakuzungumzia suala hilo mpaka sasa, hata hivyo Nyalandu
amezungumzia suala hilo mbele ya waandishi wa habari baada ya magazeti
kuandika habari ya yeye kudaiwa kuwa wapenzi na Aunty ikidaiwa ni
ufujaji wa pesa za walipa kodi kwa alichokifanya kwenda kutanua na Aunty
nchini Marekani.
kwa mujibu wa Mtanzania, Nyalandu alijibu madai hayo kwa kusema kuwa hakutanua na Aunty na wala sio wapenzi bali alienda Marekani alipoalikwa kama mgeni rasmi wa tamasha la Utamaduni na Utalii kupitia soko la wasanii wa Tanzania ikiwamo kuwatangaza wasanii kimataifa.Alisema tamasha hilo liliendeshwa na blog ya Vijimambo 13 September mwaka huu.
kwa mujibu wa Mtanzania, Nyalandu alijibu madai hayo kwa kusema kuwa hakutanua na Aunty na wala sio wapenzi bali alienda Marekani alipoalikwa kama mgeni rasmi wa tamasha la Utamaduni na Utalii kupitia soko la wasanii wa Tanzania ikiwamo kuwatangaza wasanii kimataifa.Alisema tamasha hilo liliendeshwa na blog ya Vijimambo 13 September mwaka huu.
Alisema
Aunty aliongozana na msaniii wa Bongo Fleva Cassim Mganga na safari yao
iliratibiwa na waandaaji hao kwa ushirikiano na ubalozi wa Tanzania
nchini Marekani na sio yeye aliyempeleka Aunty nchini humo bali alisema
wabaya wake kisiasa wakiwemo baadhi ya watendaji wa wizara yake na
baadhi ya viongozi wa serikali ndiyo humchafua kwenye media kutokana na
kutopenda utendaji wake kazi mzuri wa kutotaka kushrikiana na majangili.
“Mimi
na Aunty tulionana siku moja tu tena usiku wa tukio ambalo lilifanyika
13 September 2014 kwenye kilele cha sherehe ya utalii na baada ya hapo
sikuwahi kuonana naye tena” Alisema Nyalandu n a kuongeza:
“Baada ya sherehe ya utalii Jumatatu nilisafiri kwenda California kuzindua kampuni ya utalii ya Tanzania Safari And Tourism inayomilikiwa na balozi wa heshima Ahmed Issa na sikurudi tena Washington, DC mpaka siku niliyoondioka”
“Baada ya sherehe ya utalii Jumatatu nilisafiri kwenda California kuzindua kampuni ya utalii ya Tanzania Safari And Tourism inayomilikiwa na balozi wa heshima Ahmed Issa na sikurudi tena Washington, DC mpaka siku niliyoondioka”
Aliingia ndani zaidi kukana madai ya kutoka na star huyo wa filamu kwa kusema “Sikuwahi
kutanua na msanii huyu kama ilivyodaiwa lakini sishangai kwani mambo
haya yamekuwa yakifanywa na genge la watu ambao miongoni mwao ni
viongozi wa serikali na waliomo kwenye wizara yangu”
“Huyo
Aunty nimezoea kumuona au kumsikia kwa kupitia vyombo vya habari lakini
kwa mtazamo wa watu hawa wanataka kumfanya kiongozi atakapofika kwenye
mkutano wowote ule na kumkuta mdada maarufu basi akimbie”.
Alisema Nyalandu ambaye mkewe Faraja Kota aliyetwaa taji la Miss
Tanzania hiyo ni msomi pia huku akiwa hana skendo za ajabu ajabu kama
baadhi ya mamiss wengine
Nyalandu
alisema kuwa tayari amewatambua watu hao na kwamba yeye ataendelea na
msimamo wake wa kulinda maslahi ya taifa hususani katika nafasi yake
hiyo
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


