Dereva
Boda boda ambao ni wananchama wa Chama cha Wananchi CUF wakiongoza
msafara wa mapokezi ya Prof Ibrahim Lipumba mara tu alipo wasili
Wilayani Tunduru akitokea Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.Lipumba
yupo Mikoa ya Kusini inayojumuisha Ruvuma,Lindi na Mtwara kwa ziara
ya siku 16 ikiwa na dhumuni la kuimarisha chama pamoja kuhamasisha
wananchi kujitokeza katika daftari la wapiga kura na vitambulisho
vya taifa.
Huu ni umati wa watu waliojipanga barabarani kumpokea prof Ibrahim Lipumba.
Wakazi wa Tunduru ambao ni wanachama wa Chama cha Wananchi CUF, wakiwa katika msafara wa Mwenyekiti wa chama hicho,Prof Ibrahim Lipumba.
Wanachama wa Chama cha Wananchi CUF wakiwa katika msafara wa mapokezi ya Mwenyekiti wa chama hicho,Prof Ibrahim Lipumba.
Polisi wakiwa katika ulinzi wa Prof Ibrahim Lipumba.
Naibu Mkurugenzi wa Oganaizesheni Uchaguzi na Bunge wa Chama Cha Wananchi CUF – Shaweji Mketo akiwahutubia wakazi
wa wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma,kutokufanya makosa wakati
wauchaguzi wa serikali za mitaa uliotangazwa kufanyika Disemba 14
mwaka huu wahakikishe wanakipigia Chama cha Wananchi CUF.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF,Prof Ibrahim Lipumba akiwahutubia maelfu ya wananchi waTunduru waliojitokeza kumsikiliza katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja baraza la Iddi Tunduru mjini.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

