Habari Kali
Loading...

UNYAMA...!! KIKONGWE WA MIAKA 81 ABAKWA HUKO MBEYA,WABAKAJI WAONDOKA NA DAMU YA SEHEMU ZA SIRI...

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
MKAZI wa kijiji cha Luteba, wilayani Rungwe mkoani Mbeya, jina linahifadhiwa (81) amedaiwa kubakwa na watu wasiojulikana na kumsababishia maumivu makali.
 
Akisimulia mkasa huo Bibi huyo, alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi usiku majira ya saa 8:00 wakati bibi huyo akiwa amelala nyumbani kwake, ambapo alisikia kishindo cha watu ambao walimvamia na kumfunga kitambaa usoni na kuanza kumuingilia kimwili.
Niliwaambia niwape hela wakasema hawana shida na kuniambia nikipiga kelele wataniua na ndipo walipoanza kunivua nguo kinguvu na kufanikiwa kunitendea unyama huo na na kuondoka na damu iliyokuwa ikinitoka
alisema  
Alisema walipoondoka aliamua kupiga kelele za kuomba msaada kwa majirani waliompeleka katika kituo cha afya.
 
Mganga Mkuu wa kituo hicho Dk. Edwin Mwakisisya, alikiri kumpokea Bibi huyo na kudai kuwa wanaendelea kumfanyia matibabu kwa lengo la kumrudisha katika hali yake ya kawaida.
 
Akizungumza kwa niaba ya wazee wa makanisa wilayani humo mzee wa kanisa la Baptist, Syemi Melele, alisema vitendo hivyo vimekuwa vikijitokeza mara kadhaa na kwamba wanajipanga kuitisha makongamano yatakayoendana na maombi kwa jamii hiyo ili iache vitendo hivyo.
Jeshi la polisi wilayani humo linaendele na uchunguzi wa kuwabaini wahusika wa tukio hilo.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top