BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
JESHI
la Polisi mkoa ni Kilima njaro, linamshikilia kijana mwenye umri wa
miaka 16,mkazi wa Sabuko, Wilaya ya Siha ,mkoani humo kwa tuhuma za
kumbaka mtoto wa dada yake mwenye umri wa miaka mitatu(wote majina
yanahifadhiwa).
Kaimu
Kamanda wa Polisi mkoani humo, Koka Moita, alisema mtuhumiwa anadaiwa
kumbaka mtoto huyo nyumbani kwao na kumsababishia maumivu makali sehemu
zake za siri.
"Tukio
hili limetokea saa 10:45 alasiri,wakati mama wa mtoto huyo akiwa
ametoka nyumbani kwenda kwenye shughuli zake za kujitafutia riziki na
kumuacha mtoto na mjomba wake ndipo mtuhumiwa alitumia muda huo kufanya
kitendo hicho cha kikatil i na kinyama," alisema Kamanda Moita.
Aliongeza
kuwa,mama wa mtoto huyo aliporudi nyumbani jioni,alimkuta mtoto wake
akilia kutokana na maumivu makali na alipomchunguza akabaini alibakwa.
"Baada
ya kubaini mtoto wake amebakwa, alitoa taarifa polisi ambao walimkamata
mtuhumiwa na kufikishwa Kituo cha Polisi kwa mahojiano kabla
yakufikishwa mahakamani," alisema.
Kamanda
Moita alisema kwa sasa mtoto huyo anaendelea na matibabu katika
Hospitali ya KibongĂto, iliyoko wilayani humo ambapo jeshi hilo
linaendelea na uchunguzi.
Alitoa
wito kwa wazazi na walezi kuwa waangalifu na watoto wao kutokana na
matukio ya ubakaji hususani kwa watoto kuongezeka siku hadi siku.
"Awali
matukio ya ubakaji hayakuwepo hapa Kilimanjaro tofauti na sasa...tatizo
hili linachangiwa na ukosefu wa maadili kwenye jamii, tabia hii
inapaswa kukoma mara moja," alisema.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
Ukatili
Friday, 17 October 2014