BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Hausigeli
aliyejulikana kwa jina moja la Ester (14) yupo matatani kwa madai ya
kumuua mtoto Arafat Allan (3) kwa kumnyonga shingo na kumpiga na kitu
kizito kichwani kisha kuutumbukiza mwili wake kwenye dimbwi la maji
machafu, Risasi Jumamosi limekamata tukio zima.
 |
| Mama wa Mtoto akiwa hospital baada ya kuzimia. |
Akizungumza
kwa uchungu, mama mzazi wa mtoto huyo, Zakia Peter ambaye amelazwa
katika Zahanati ya Kellen kutokana na mshtuko wa kifo cha mwanaye,
alisema siku ya tukio, hausigeli huyo aliyekuwa na siku mbili tangu
aanze kazi aling’ang’ania kutumwa sokoni saa mbili asubuhi ambapo
alimkubalia na kumuagiza mboga.
Mama
wa marehemu aliendelea kusema kuwa zoezi la kumsaka msichana huyo na
mtoto wake liliendelea mpaka Jumanne iliyopita ambapo habari zilisambaa
kwamba kuna maiti ya mtoto wa kiume imekutwa ikielea kwenye dimbwi la
maji machafu linalotumika kumwagilia bustani za mboga maeneo hayo.
mwili
huo ulipelekwa katika Hospitali Teule ya Tumbi, Kibaha ambapo madaktari
waliufanyia uchunguzi na kubaini kuwa marehemu alinyongwa shingo na
kupigwa na kitu kizito kichwani hali iliyomsababishia mauti.
Baadhi
ya watu waliozungumza na gazeti hili Jumatano iliyopita akiwemo mama wa
marehemu, walisema kwa siku mbili hizo alizofanya kazi hausigeli huyo
alionekana kuwa na mambo
ya kishirikina kwani asubuhi ya siku ya tukio aliamka akiwa amenyolewa nywele upande mmoja.
“Siku
hiyo ya Jumapili huyo mdada wa kazi aliamka akiwa amenyolewa nywele
upande mmoja, alipoambiwa amalizie zote alikataa akisema atanyoa baada
ya kutoka sokoni ambapo hakurudi tena,” alisema mama wa marehemu.
Jumatatu
iliyopita, siku moja baada ya tukio, hausigeli huyo alikutwa
akirandaranda stendi akiomba fedha za nauli ili arudi kwao Mbeya lakini
alikamatwa na kufikishwa kwenye kituo kidogo cha polisi.
Habari
zinasema hali kwenye kituo hicho ilikuwa mbaya kufuatia baadhi ya wakazi
wa eneo hilo kujaribu kukivamia ili wamuue mtuhumiwa huyo. Ilibidi
mtuhumiwa ahamishiwe Kituo cha Polisi cha Tumbi, Kibaha
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
Matukio
Tuesday, 14 October 2014