
MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khalid Mohammed ‘TID Mnyama’ amesema, yeye ni msanii wa kimataifa tangu siku nyingi ingawa amekuwa hapewi sapoti anayostahili kupata.
Akizunguza jijini Dar es Salaam, muimbaji huyo ambaye hivi karibuni alirekodi wimbo na msanii wa Afrika Kusini, Tumi, amesema kile wanachokifanya wasanii wapya wanaotaka kwenda kimataifa kwa sasa, yeye alikifanya miaka mingi iliyopita.
Unajua kama kufanya muziki kimataifa mimi tayari nilishaenda zamani sana, maana nikikumbuka video zangu nimeshafanya mahojiano na MTV Base, Channel O na pia nimefanya kazi na wasanii kutoka Nigeria na Afrika Kusinialisema TID.
Pia nimefanya kazi na watu kama akina Dk Chameleone na wasanii wengine, kwa hiyo kwenda kimataifa ndo kitu nachokifanya. Naona ni sapoti tu ndio siipati ya kutosha maana nimeshafanya matamasha makubwa kama Rwanda, Burundi na Afrika Kusini, kwa hiyo muziki wangu upo kimataifaalisema.
TID aliwahi kutamba na albamu zake mbili za Zeze na ‘Nyota Yangu’ zilizofanya vizuri na kumtangaza katika nchi za jira
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

