Uongozi wa Skylight Band unawaomba radhi
mashabiki wake wa Dar es Salaam kwa kutokuwepo nchini kwa ajili ya kutoa
burudani jioni ya leo kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki
pamoja na siku ya Jumapili kwenye Skylight Sunday Bonanza katika kiota
cha maraha Escape One kutokana na kupata mwaliko wa kutumbuiza nchini
Oman.
Skylight Band watarejea nyumbani wiki ijayo
na kuendelea na ratiba zao kama kawaida ambapo siku ya Ijumaa tarehe
10/10/2014 watakuwepo Thai Village pamoja na Jumapili tarehe 12/10/2014
kwenye Skylight Sunday Bonanza ndani ya kiota cha maraha Escape One.
Skylight Band inarudia tena kuwaomba radhi
mashabiki wake wa Dar na kuendelea kuwashukuru kwa sapoti wanayoipata na
inawapenda sana.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

