Nicole Franklyn
Sarakikya ambaye ni mwakilishi kutoka Shinyanga 2014 usiku wa kuamkia
leo alifanikiwa kuwabagwa warembo wenzake 26 kati ya 30 wanao wania taji
la Miss Tanzania mwaka huu na kufanikiwa kuwa mrembo wa 3 kuingia Nusu
Fainali ya Mashindano hayo baada ya kutwaa taji la miss talent. Shindano
hili limefanyika New Maisha Club jijini Dar es Salaam.
Tano bora ilikuwa hii.
Ommy Dimpoz akiwa kwenye red carpet.
Msami akitoa burudani ya nguvu ndani ya Maisha club jijini Dar.
Mambo yalikuwa hivyo kwa baadhi ya washiriki.
Mardha John akifanya vitu vyake.
Huyu ni balaaaa.
Elizabeth Eliud akikizungusha kiuno chake.
Dorice Molel akifanya ya kwake kwenye stage.
Kwa Naomi Kisaka ilikuwa ni shidaaaaaa.
Huyu alikuja kiivi.
Sabina Thomas alitoka kivyake vyake.
Weeeeee hii ni shida.
Maureen Godfrey akishake kwenye stage.
Majaji wakifuatilia shindano hilo kwa makini.
Nicole Franklyn Sarakikya akiimba kwa hisia kali.
Ni mwendo wa furaha tu.
Camilla John aliimba kwa hisia.
Hii ni kikwetu kwetu.
Happy Sosy alikuja kama Beyonce.
Queen Latifa Hamisi yeye aliamua kukata nyonga.
Ni mwendo wa mauno.
Ni furaha tu.
Ngoma ziliamia India kwa muda.
Mc wa mashindano ya Redds Miss Tanzania Talent, Hypeman Hk akifanya ya kwake kwenye jukwaa la New Maisha Club.
Ommy Dimpoz akitoa burudani kwenye stage ya Tanzania Miss Talent iliyofanyika ndani ya New Maisha Club Dar es salaam.
Kazi inaendelea hapa.
Majaji wakijadiliana jambo.
Ommy Dimpoz (kulia) akiimba pamoja na Christian Bella waimbo wa mama ulioleta amasa kwa mashabiki wake.
Majaji wakiongozwa na Chief jaji Martin Kadinda wakitoa maoni juu ya washiriki walioonesha vipaji vyao.
Chief Jaji Martin Kadinda akitangaza washindi.
Baadhi ya mashabiki wakifuatilia kwa makini tukio lililokuwa likiendelea.
(Picha na Pamoja Blog)
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

