BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Mwaka jana mwezi wa tisa nikiwa na rafiki zangu mara baada ya kumaliza mitihani tuliamua kwenda kujirusha.
Tulikubaliana twende tukakae pahali patulivu tukiwa sisi kama sisi yaaani mimi, evelyne, Trice na shakira.
Baada
ya kufika bar mwenzetu Trice akadai rafiki yake wa kiume angependa kuja
pale, tukabishana sana kuwa mbona huu ulikuwa mtoko wa sie peke yetu?
Lakini baadae tukaamua tumkubalie amwite tuu hasa ukizingatia ni shemeji
yetu.
Dakika
chache baadae akaja shem akiwa na jamaa zake watatu na kufanya kuwa
idadi ya mabinti wanne na vijana wanne wa kiume. Haiukuninigia akilini
lakini nikajua kama kuna kitu nafichwa vile.
Baada
ya utambulisho tuluendelea kufurahi na mazungumzo yakiendelea.Pamoja na
mazungumzo bia ziliendelea kushuka mezani ingawa mimi nilikuwa nikinywa
kinywaji aina ya Bavaria hata kama walinisakama nijaribu pombe kidogo.
Walizidi
kunishawishi na baadae nikanyanyuka kwenda maliwatoni nilipo rudi
nikaendelea kunywa bavaria yangu ingawa nikawa nahisi kama inakuwa
tofauti na kichwa chazidi kuwa kizito.
Badae
nikamuuliza Trice kuhusu hali ile akaniambia labda kwa kuwa nimekunywa
nyingi ila akanishawishi ninywe bia moja itatulia lakini mpaka muda huo
unafika nilishaanza kuona maluweluwe so ikawa vigumu kukataa.
Baada
ya saa moja baadae hali yangu ikawa imebadilika nikawa sijiwezi, kitu
cha mwisho nilicho kukumbuka nikuwa tuliondoka kwenda kutafuta chakula.
Asubuhi
nilihamaki kujikuta naamka nikiwa katika mazingira ya kutatanisha na
maanisha katika sehemu nisiyoifahamu, nikiwa katika hali hiyo mara
akatokea James niliyetambulishwa jana na Trice kuwa ni kaka yake.
Katika
kipindi hicho nikawa nahisi maumivu sehemu zangu za siri kama
nimeingiliwa vile. Na wakati huo James akawa nae kama anaona aibu vile.
Niliamka na kuondoka haraka kurudi hostel na kumkuta Evelyne ingawa nae alionekana kuchoka.
Nikakaa
nikiwaza kwa muda mrefu nikiumia sana juu ya lile tukio na baadae
nikaamua kumshirikisha rafiki yangu mmoja akaniambia kuwa Trice amekua
na tabia ya kuwaunganishia watu wanaume na kuwa yawezekana waliniwekea
madawa.
Niliumia
sana na baada kuona hali yangu.yazidi kuwa ya kinyonge mwezi wa kumi na
mbili nikaenda kupima katika hospitali ya taifa ya Muhimbili ambako
baada ya vipimo daktari aliniambia ya kuwa nina mimba ya miezi mitatu na
nimeathirika na ugonjwa wa ukimwi.
Ni zaidi ya mwezi sasa nimekuwa nikiwaza nijiue ama nitoe mimba bila kujua la kufanya.
Rafiki kama umeguswa na hili naomba ushauri wako maana naona kama kila kitu kimekuwa jehanamu kwangu.
Asante kwa uelewa wenu
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
Matukio
Tuesday, 21 October 2014