Habari Kali
Loading...

MTITU AFUNGUKIA BIFU LAKE NA STEVE

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Stori: Gladness Mallya
BAADA ya tetesi kuzagaa kwamba aliyekuwa Katibu wa Bongo Movie Unity, William Mtitu kwamba ana bifu kali na aliyekuwa mwenyekiti wa kundi hilo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ mwenyewe amefunguka kwamba hawezi kufanya kitu kama hicho.
Aliyekuwa Katibu wa Bongo Movie Unity, William Mtitu.
Akistorisha na paparazi wetu, Mtitu amesema anashangazwa na taarifa hizo licha ya kwamba hawajawahi kuzungumza na Steve tangu alipoachia ngazi ya ukatibu.
“Sijawahi kutishia kuua mtu kama watu wanavyosema, Steve ni mdogo wangu hivyo kama atakuwa na bifu na mimi ni yeye na sitajali kwani wangekuwa ni kina Ray au wasanii wengine wakubwa wamenichunia ningewaza lakini huyo haniumizi kichwa,” alisema Mtitu.
Aliyekuwa mwenyekiti wa kundi hilo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’.
Maddi yaliyopo mtaani ni kwamba, wasanii hawa kwa sasa ni kama paka na panya na imefika hatua ya kutishiana kuuana.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top