BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Kuna
dada mmoja amenihadithia jambo akiomba ushauri anasema ana mpenzi wake
wanaopendana sana wamekuwa pamoja kwa miaka mitano sasa, kila siku ya
maisha yao haijawahi kutokea akajutia kuwa na huyo mpenzi wake.
Kwa
muda huo wote walikuwa wakikutana kimwili kwa njia ya kawaida tu ile
ambayo inaruhusiwa kihalali na wala kulikuwa hamna tabu wala hamna mtu
ambaye hakuridhika na starehe ambayo mwenzake anampa.
Anachoshangaa
yeye ni kwamba mwezi wa tatu huu sasa jamaa ananuna hataki hata kwenda
nyumbani kwa huyo dada kisa jamaa amechoka kula mbele peke yake anataka
kanga igeuzwe upande wa pili.
Huyu dada alikataa na kumwambia hiyo siyo sahihi kwake, kitu mpenzi wake alichomjibu ni kwamba
kwani wewe upo nji gani wasichana wenzako siku hizi wengi huwapa
wapenzi wao upande wa pili kwa nini wewe hutaki kunipa? kama hutaki
inamaana utaanza kumpa mtu mwengine ama unaona mimi sifai?yule
dada kwa uchungu anasemakila siku alikuwa anampigia simu mpenzi wake
akilia akimuomba aachane na hayo mawazo, lakini kijana bado anadai
anataka, anasema sasa umekuwa ugomvi mkubwa sana kati yao na anahisi
wataachana kinachomuuma nikwamba anampenda sana mpenzi wake huyo, na
mpenzi wake haelewi somo lengine kabisa huyu dada sasa hajui afanye
nini.
Akiomba ushauri kwa
rafiki zake wengine wanamwambia ampe tu huyo mpenzi wake kwani
atabadilisha wanaume wa ngapi? wengine wanamwambia hiyo ni dhambi kubwa
lakini akitaka anaweza tu kumpa kwani dhambi ngapi amefanya tokea
amezaliwa iwe hiyo moja? wengine humshauri kwamba siku hizi mpaka
machangu wengi hutoa nyuma ama unataka aende akachukue kwao akileta
magonjwa je?
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Friday, 10 October 2014