BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Naomba ushauri wenu hapa kwenye hili jambo linalonitatiza sana kwa sasa.
Niko
kwenye uhusiano na huyu Malkia wangu kwa muda wa miaka sita sasa
anaujauzito,lakini toka amekuwa katika hali hiyo Nyumba imekuwa chungu
kwangu...
1.Hataki nioge yaani
nikirudi kazini suala la kuoga halipo kwahiyo mm huwa inabidi nikienda
kazini asubuhi nioge huko huko,anasema kwamba anataka asikie harufu
yangu kwahyo huwa analalaga karibu na kwapani ili asikiwe tu ile
harufu...
2.Siku
nyingine nikirudi Nyumbani nafukuzwa hataki kuniona bila sababu muda
mwingine huniambia "nanuka" pafyumu sasa yeye hataki hiyo harufu hata
kama sijajipulizia hii huwa inaniuma sana kwasababu huyu huwa ni zaidi
ya mpenziu wangu ni RAFIKI yangu mkubwa...
Sasa akinifukuza nikitoka
haitapita nusu saa ananipigia simu nirudi Nyumbani kwanini namucha peke
yake?!anadai siku hizi simpendi
3.Kuhusu Chakula
Juzi
kaniambia anahamu ya Kuku tumetoka kwenda barabarani tumenunua kuku
tumefika Nyumbani nampikia Kuku anasema Yeye anataka Miguu tu!na Kuku
mwenyewe hajala kala kamguu kamoja na hakukamaliza...hicho ni kisa
kimoja tu vipo vingi!
Wakuu,
Yapo
mengi yananiumiza sana hasa muda mwingi nashindwa kuwa nae kutokana na
Ugomvi mara kwa mara japo nimejitahidi kuvumilia,kuna wakati natamani
hata arudi kwao ila sasa hawezi kukubali kuondoka na mimi siwezi
kuvumilia awe mbali nitakosa mtu wa kuongea nae ye ndo Rafiki yangu
mkubwa(mimi sina Marafiki sana hili ni tatizo ambalo nalitafutia
ufumbuzi)
Naomba mnisaidie ushauri hapa nifanye nini sasa ili
niweze kuishi nae kwa Amani?ndo itakuwa hivi hivi mpaka miezi tisa
itimie au itafika kipindi ataacha?
Samahani kwa maneno mengi ni Pressure tu inanisumbua.Asante
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Sunday, 12 October 2014