Habari Kali
Loading...

MKE WA SUGU AFUNGUKA UKWELI JUU YA KUACHANA NA SUGU "Niliachana Kabisa Na Sugu Tangu January Na Sio Sasa!"

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Faiza
Muigizaji wa filamu nchini Faiza Ally ambaye pia aliwahi kujitosa kushiriki mashindano ya Miss Tanzania amesema kuwa ameachana na Mh.Joseph Mbilinyi "Sugu" tangu January mwaka huu na kwasasa wanamlea kwa pamoja mtoto wao Sasha waliezaa pamoja.
Akizungumza na wahiliworldplanet Faiza alisema "Tumeachana kabisa toka mwezi January Lakini tunashirikiana kulea mtoto wetu"

Juzi faiza Ally alielezea kuhusu kuachana na Sugu ambaye ni msanii mkongwe wa kizazi kipya nchini hata hivyo watu wengi walidhani wawili hao waliachana hivi juzi huku media na mitandao ikianza kuandika kumwagana kwa wawili hao kumbe walishaacha muda kidogo ila Faiza hakuweka wazi kwa wakati

Faiza, Sugu na Sasha
   

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top